Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usalama wa chakula umekuwa mateka kwenye mjadala wa biashara:WTO

Usalama wa chakula umekuwa mateka kwenye mjadala wa biashara:WTO

Dunia iko katika mgogoro wa chakula ambao unahitaji sera za haraka kunusuru hali hiyo, lakini ajenda ya shirika la biashara duniani imeshindwa kufanya hivyo na nchi zinazoendelea zinahofia kwamba zitabanwa na sheria za biashara.

Onyo hilo limetolewa na mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula Oliver De Schutter alipotoa mapendekezo ya kuweka haki ya binadamu ya chakula katika ajenda ya juu kwenye mkutano wa WTO utakaofanyika mwezi ujao. George Njogopa anaripoti

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)