Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanyama wanaohama wanapaswa kulindwa:UNEP

Wanyama wanaohama wanapaswa kulindwa:UNEP

Shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP linasema aina 10,000 ya wanyama wanadhaniwa kuhama kila mwaka, lakini ongezeko la vizuizi katika njia wanazotumia kuhama wanyama hao kama anga, majini na barabara zimekuwa zikiharibiwa.

Njia hizo zinaharibiwa kuanzia kwa ujenzi wa barabara, kuweka uzio, kuchimba visima, kuweka nguzo za umeme hadi uwindaji au uvvi haramu, uharibifu wa makazi ya viumbe hao, uchaguzi wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa.Waiganjo Njoroge kutoka UNEP Nairobi anafafanua.

(SAUTI YA WAIGANJO NJOROGE)