Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti ya WIPO inaonyesha haja ya mabadiliko katika masuala ya hati miliki

Ripoti ya WIPO inaonyesha haja ya mabadiliko katika masuala ya hati miliki

Shirika la kimataifa linalohusika na masuala ya hati miliki WIPO limesema katika ripoti yake ya mwaka 2011 kwamba kuna haja kubwa ya kufanyika mabadiliko ya bunifu katika sekta hiyo.

WIPO imeelezea jinsi haki ya umiliki inavyozidi kuwa kitovu muhimu katika mikakati ya sekta ya ubunifu duniani. Wakati mahitaji ya dunia kuwa na umiliki yakiongezeka kutoka maoni 800,000 mwanzoni mwa miaka ya 1980 hadi milioni 1.8 mwaka 2009 ripoti imehitimisha kwamba ongezeko la uwekezaji katika masuala ya ubunifu na utandawazi wa shughuli za kiuchumi ni masuala muhimu sana kwa sasa. Monica Morara anaripoti.

(RIPOTI YA MONICA MORARA)