Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNDP yazindua ripoti ya maendeleo ya binadamu mwaka 2011 nchini Tanzania

UNDP yazindua ripoti ya maendeleo ya binadamu mwaka 2011 nchini Tanzania

Shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP limezindua ripoti ya maendeleo ya binadamu mwaka 2011 nchini Tanzania. Washirika mbali mbali walihudhuria mkutano huo wakiwemo Dr Paniel Lyimo, katibu mkuu wa kudumu kwenye ofisi ya waziri mkuu wa Tanzania ambaye alikuwa mgeni rasmi, Dr. Bohela Lunogelo, na Dr. Amani Ngusaro. Wasikilizeni wakizungumza wakati wa uzinduzi huo.