Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vita dhidi ya malaria bado ni changamoto kubwa Tanzania

Vita dhidi ya malaria bado ni changamoto kubwa Tanzania

Lengo namba sita la maendeleo ya milenia ni kupambana na maradhi ya ukimwi, kifua kikuu na malaria. Umoja wa Mataifa uliweka malengo 8 ya maendeleo ya milenia mwaka 2000 na yanapaswa kutimizwa ifikapo 2015.

Nchi nyingi zimepiga hatua lakini kwa Tanzania suala la malaria bado ni changamoto japo wanajitahidi.

Mwandishi wetu wa Tanzania George Njogopa amekuwa akifuatilia mchakato wa kupambana na malaria unavyokwenda nchini humo na kutuandalia makala hii.

(MAKALA NA GEORGE NJOGOPA)