Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Guterres aomba kuachiliwa kwa madaktari waliotekwa nyara Kenya

Guterres aomba kuachiliwa kwa madaktari waliotekwa nyara Kenya

Mkuu wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa ameelezea mshangao wake kutokana na kutekwa nyara kwa wafanyikazi wawili wa kike wa kutoa misaada kutoka kwenye kambi ya Daadab nchini Kenya baada ya dereva wao kupigwa risasi.

Antonio Geterres amesema kuwa kutekwa nyara kwa wafanyikazi hao kutoka kwa shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka ni kitendo ambacho hakitakubalika. Monica Morara na taarifa kamili.

(SAUTI YA MONICA MORARA)