Nchi zinazoendelea zinahitaji msaada kukabiliana na majanga

Nchi zinazoendelea zinahitaji msaada kukabiliana na majanga

Nchi nyingi zinazoendelea bado hazijamudu kukabiliana na athari za majanga ya asili na hata yanayosababishwa na shughuli za binadamu. Hayo yamesemwa na Umoja wa Mataifa katika kuadhimisha siku ya kimataifa hii leo ya kupunguza majanga.

Mkazo umetiwa katika kpunguza athari za majanga hayo na kwenda sambamba na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Tatizo kubwa kwa mujibu mataifa yanayoendelea ni uwezo wa kukabiliana na majanga hayo yanapozuuka, utaalamu mdogo na kutojiandaa mapema.

Nini kifanyike na je kuna uwezekano wa kuzuia mjanga haya? wasikilize baadhi ya watu kutoka Burundi wakitoa maoni yao kuhsu siku hii na njia za kukabiliana na majanga.

(MAHOJIANO BRUNDI)