Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi zahitajika kulinda misitu mijini:FAO

Juhudi zahitajika kulinda misitu mijini:FAO

Sera bora na uwekezaji kwa lengo la kulinda na kudhibiti misitu na miti mijini zinahitajika, ili kuimarisha maisha ya mijini na kuboresha mazingira limesema shirika la chakula na kilimo FAO kwani miji inakuwa kwa kasi duniani.

Ujumbe huo umetolewa na ushirikiano wa kimataifa wa misitu CPF na FAO wakati leo ikiadhimishwa siku ya makazi. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)