Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuwepo kwa nishati kunachangia katika kupunguza umaskini:ESCAP

Kuwepo kwa nishati kunachangia katika kupunguza umaskini:ESCAP

Ukosefu wa huduma za kisasa za nishati kumesababisha mamilioni ya watu kusalia kwenye umaskini na afya eneo la Asia Pacific huku wengi wao wakiwa ni wanawake.

Tume ya masuala ya uchumi na jamii ya Umoja wa Mataifa barani Asia na eneo la Pacific (ESCAP) inasema kuwa nchi za maeneo hayo ni lazima zihakikishe kuwa sera za nishati zinawahakikishia watu kuwepo kwa urahisi kwa huduma hizo. Monica Morara ana taarifa kamili.

(SAUTI YA MONICA MORARA)