Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakristo sasa wanakabiliwa na wakati mgumu wa kukumbana na mateso: Holy See

Wakristo sasa wanakabiliwa na wakati mgumu wa kukumbana na mateso: Holy See

Waumini wa madhehebu ya kikristo duniani kote, wakati huu wapo hatarini kukubwa na vitendo utesaji kushinda wakati mwingine wowote uliopita. Kwa mujibu wa Holy See, hatua hiyo inaweza kukwaza kwa kiwango kikubwa ustawi wa amani na usalama na kusisitiza kuwa wakati ni wakati wa hatari kwa wakristo.

Holy See inasisitiza kuwa jamii inapaswa kuishi kwa mchangamano na maingiliano kwa kutambua kila binadamu anapata uhuru wa kuabudu bila kuingiliwa na ukinzani wowote.