Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa Kimataifa kuhusu Somalia kufanyika Denmark:Mahiga

Mkutano wa Kimataifa kuhusu Somalia kufanyika Denmark:Mahiga

Mkutano wa kimataifa kuhusu Somalia ukijumuisha kundi maalumu lililoteuliwa na Umoja wa Mataifa lijulikanalo kama Contact Group, utafanyika mjini Copenhagen Denmak wiki ijayo.

Mkutano huo utakaoongozwa na mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa Balozi Augustine Mahiga unatarajiwa kujadili maendeleo ya taifa hilo linalokabiliwa na vita na njaa hivi sasa. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)