Kuzingatia muda na mpangilio yamenifurahisha UM:Chuwa

Kuzingatia muda na mpangilio yamenifurahisha UM:Chuwa

Leo Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa imepata fursa ya kuzungumza na mwandishi wa habari wa Radio One na kituo cha televisheni cha ITV kilichopo nchini Tanzania aliyefika New York kwa mara ya kwanza kuripoti kuhusu mjadala wa baraza kuu ulioanza Septemba 19 mwaka huu.

Stephen Chuwa aliyezungumza na Flora Nducha amepigwa butwaa kwa aliyoyashuhdia, kwenye baraza kuu na manzari ya jiji la New York. wasikilize.

(MAHOJIANO NA STEPHEN CHUWA)