Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ugaidi ni hatari kubwa kwa amani na usalama wa Kimataifa:Jonathan

Ugaidi ni hatari kubwa kwa amani na usalama wa Kimataifa:Jonathan

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amesema kuwa kutumika kwa ugaidi kwenye masuala ya kisiasa kunahatarisha usalama wa kimataifa. Akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Rais Jonathan amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Nigeria kwa miezi michache iliyopita. Hata hivyo amesema kuwa taifa lake limejitolea kukabiliana na ugaidi.

(SAUTI YA GOOD-LUCK JONATHAN)