Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yasambaza misaada kwa walioathiriwa na mafuriko nchini Pakistan

UNHCR yasambaza misaada kwa walioathiriwa na mafuriko nchini Pakistan

Kundi kutoka shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasambaza hema na misaada mingine ya dharura kwa familia zilizolazimika kuhamwa makwao kufuatia kuwepo mafuriko nchini Paskistan.

Zaidi ya watu milioni tano wameathiriwa na mafuriko mwaka huu huku serikali ikikadiria kuwa zaidi ya watu 200,000 wanahitaji misaada ya dharura. UNHCR imesambaza hema 2000 na bidhaa zingine kwenye mkoa ulioathirika zaidi na mafuriko wa Sindh. Adrian Edward kutoka UNHCR anaeleza.

(SAUTI YA ADRIAN EDWARD