Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban aonya juu ya kuendelea kuharibu tabaka la ozoni

Ban aonya juu ya kuendelea kuharibu tabaka la ozoni

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameitolea mwito jumuiya ya kimataifa kutofanya mbadala wa tabaka la Ozoni kama ulimwengu unashaba ya kuwa na maendeleo endelevu kwa wote.

Akizungumza kwenye kilele cha cha maadhimisho ya siku ya kuhifadhi tabaka ozoni, Ban amesema kuwa ulimwengu lazima ujuu changamoto za uharibifu wa mazingira zinavyobadilisha hali joto ya dunia jambo ambalo amesisitiza kuwa linapaswa kuzingatia kwa uadilifu mkubwa.

Tabaka ozoni ni nukta muhimu ambayo inaweka mkazo wa kipekee kwa ajili ya kuepusha dunia kutumbukia kwenye mkwamo wa kimaumbile.