Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa Bonn waafikia makubaliano

Mkutano wa Bonn waafikia makubaliano

Zaidi ya washirikishi 2000 wa mashirika ya kijamii wameafikia makubaliono wakitoa wito kwa serikali kufanya jitihada kati kuweka sera ambazo zinachangia maendeleo. Makubaliano hayo yaliyoafikiwa wakati mkutano uliofanyika kwenye makao ya Umoja wa Mataifa mjini Bonn nchini Ujerumami pia yalitoa wito wa kuanza kutumika kwa teknolojia safi ili kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa.

Bwana Kiyo Skasaka ni naibu katibu wa mawasiliano kwenye Umoja wa Mataiafa na PatricK Maigua alimuuliza kuhusu kilichojiri kwenye mkutano huo