Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Novak Djokovic anayeshika nambari moja duniani kwa tennis achaguliwa kuwa balozi wa UNICEF

Novak Djokovic anayeshika nambari moja duniani kwa tennis achaguliwa kuwa balozi wa UNICEF

Novak Djokovic anayeshika nambari moja duniani kwa tennis achaguliwa kuwa balozi wa UNICEF. Mchezaji mashuri wa tennis dunia amechaguliwa kuwa balozi wa hisani wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto UNICEF Novak Djokovic ambaye ni raia wa Serbia sasa anakuwa mstari wa mbele akiwalilisha UNICEF kupigania haki za watoto.

Uteuzi wake huo umefanyika wiki hii mjini New York na baadaye kufuatiwa na tafrija fupi. Djokovic kwa sasa yuko nchini Marekani ambako anajiandaa kwa ajili ya michuano ya US Open. Kazi yake ya kwanza kama balozi wa hisani wa UNICEF itakuwa kupigia kampeni harakati za kuwawezesha watoto kupata elimu stahiki.