Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya upigaji marukufu matumizi ya Nyuklia

Siku ya upigaji marukufu matumizi ya Nyuklia

Leo ni siku ya kimataifa ya kukabiliana na majaribio ya mifumo ya kinyuklia. Siku ya leo ndiyo inayoadhimishwa kupitishwa kwa sheria ya kimataifa inayopiga marafuku matumizi ya mitambo ya nyuklia duniani kote. Tibor Toth ambaye ni Katibu Mkuu Mtendaji anayeindaa Kamishna juu ya azimio hilo la upigaji  marafuku  huo anaelezea umuhimu wa siku hii.

(SAUTI YA TOTH) 

Bwana Toth pia ameelezea ni kwa nini ni muhimu kwa makundi mbalimbali kama mashirika ya kiraia, jumuiya kwa ujumla na watu binafsi kuweka mchango wake katika suala hili.

(SAUTI YA TOTH)