Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tuzo la ulinzi wa amani la Umoja wa Mataifa

Tuzo la ulinzi wa amani la Umoja wa Mataifa

Afisa wa polisi wa Pakistan ambaye amekabiliana na changamoto kadhaa wakati akitekeleza majukumu yake ya kipolisi ametunikiwa tuzo la Umoja wa Mataifa juu ya utunzaji amani. Polisi huyo Shahzadi Gulfam anaelezwa kuzishinda changamoto mbalimbali na wakati wote ametekeleza majukumu yake huku akiweka mbele shabaya ya kujituma na uchangamfu mkubwa.

Kwa hivi sasa Gulfam anaongoza kikosi cha polisi wa umoja wa mataifa UNPOL kinachofanya kazi kwa pamoja na kile kijulikanacho UNMIT ambacho ni maalumu kwa kushughulia mkwamo wa Timor-Leste. Ametunukiwa tuzo hilo linalojulikana tuzo la ulinzi wa amani la umoja wa mataifa kwa polisi wa kike kutokana na mc