Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kupambana na ukimwi zajikita kwenye mpaka na Msumbiji na Malawi

Juhudi za kupambana na ukimwi zajikita kwenye mpaka na Msumbiji na Malawi

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM wiki hii limezindua mfululizo wa vipindi vya radio vinavyojikiya na elimu ya kuzuia virusi vya HIV kwenye eneo la Nacala moja ya eneo muhimu la safari linalounganisha bandari ya Nacala Kaskazini mwa Msumbiji kuelekea Blantyre Malawi.

Vipindi hivyo vya radio vilivyopewa jina “Mukwaha n’Ekumi” ikimaanisha safari salama vimeandaliwa na proram maalumu ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na ukimwi na virusi vya HIV nchini Msumbiji. George Njogopa na taarifa kamili.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)