Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mashambulizi ya anga yanayoendelea yanauwa raia:Coomaraswamy

Mashambulizi ya anga yanayoendelea yanauwa raia:Coomaraswamy

Mashambulizi ya ndege na watu wasiojulikana lazima yaepukwe kwani yanaua raia hususani wanawake na watoto, ameonya afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa ambaye ni mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu kwa ajili ya watoto kwenye maeneo ya vita ameyataka majeshi yote ya kimataifa kuongeza juhudi zake kuhakikisha kwamba mauaji ya raia yanakoma na hayatokei tena. George Njogopa anaripoti

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)