Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burundi kuongoza wanajeshi kulinda amani Somalia

Burundi kuongoza wanajeshi kulinda amani Somalia

Rais wa Burundi Pierre Nkrunziza amesema nchi yake itaongeza idadi ya vikosi vyake vinavyolinda amani nchini Somalia chini ya mwamvuli wa vikosi vya Umoja wa Afrika AMISOM.

Tamko la Rais Nkurunziza limekja baada ya ziara ya Rais Sheikh Shariff Sheikh ahmed wa Somalia mjini Bujumbura na kutanabaisha umuhimu wa vikosi hivyo vya kulinda amani kongezwa.

Bunrundi na Uganda ndio nchi pekee za Afrika Mashariki zenye vikosi katika jeshi la AMISOM nchini Somalia. Ramadhan Kibuga na taarifa kamili kutoka Bujumbura.

(PKG BURUNDI)