Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kwenye kongamano la kimataifa la wanafunzi Ban awataka vijana kuleta mabadiliko

Kwenye kongamano la kimataifa la wanafunzi Ban awataka vijana kuleta mabadiliko

Vijana wametakiwa kujitoa na kushiriki kikamilifu katika kupata suluhu ya matatizo yanayoisumbua dunia hivi sasa. Akitoa wito huo kwenye mkutano wa tatu wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa mfano yaani UN Model mjini Incheon Korea,

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kila siku wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wako katika maeneo mbalimbali kuwalikisha watu, kuokoa maisha na kulinda amani, na kila mwanachama wa Umoja wa Mataifa anachangia katika kupata suluhu ya matatizo na kuunda sheria za kimataifa kuiongoza dunia hii yenye changamoto nyingi.

Amewaambia vijana hao wa UN Model kwamba sasa wakati wao umefika na kwenye mkutano huo maalumu watapata ujuzi wa kutambua uhusiano wa kimataifa, kujua changamoto na jinsi ya kufikia mafaka wa kupata suluhu.

Amesema ili suluhu ipatikane lazima dunia iungane kuushinda umasikini na kuwa na maisha yenye matumaini, na wao vijana wana nafasi kubwa.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)

<!--[endif]-->

VIJANA WAMETAKIWA KSHIRIKI KIKAMILIF KUPATA SULUHISHO NA MATATIZO DUNIANI:BAN

Vijana wametakiwa kujitoa na kushiriki kikamilifu katika kupata suluhu ya matatizo yanayoismbua dunia hivi sasa. Akitoa wito huo kwenye mkutano wa tatu wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa mfano yaani UN Model mjini Incheon Korea,

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kila sik wafanyakazi wa moja wa Mataifa wako katika maeneo mbalimbali walikisha watu, kuokoa maisha na kulinda amani, na kila mwanachama wa Umoja wa mataifa anachangia

VIJANA WAMETAKIWA KSHIRIKI KIKAMILIF KUPATA SULUHISHO NA MATATIZO DUNIANI:BAN

Vijana wametakiwa kujitoa na kushiriki kikamilifu katika kupata suluhu ya matatizo yanayoismbua dunia hivi sasa. Akitoa wito huo kwenye mkutano wa tatu wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa mfano yaani UN Model mjini Incheon Korea,

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kila sik wafanyakazi wa moja wa Mataifa wako katika maeneo mbalimbali walikisha watu, kuokoa maisha na kulinda amani, na kila mwanachama wa Umoja wa mataifa anachangia katika kupata sulhu ya matatizo na kuunda sheria za kimataifa kuiongoza dunia hii yenye changamoto nyingi.

Amewaambia vijana hao wa UN Model kwamba sasa wakati wao umefika na kwenye mkutano huo maalumu watapata ujuzi wa kutambua uhusiano wa kimataifa, kujua changamoto na jinsi ya kfikia mafaka wa kupata suluhu.Amesema ili suluhu ipatikane lazima dunia iungane kuushinda umasikini na kuwa na maisha yenye matumaini, na wao vijana wana nafasi kubwa.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)

katika kupata sulhu ya matatizo na kuunda sheria za kimataifa kuiongoza dunia hii yenye changamoto nyingi.