Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban kuzuru kinu cha Fukushima nchini Japan

Ban kuzuru kinu cha Fukushima nchini Japan

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anatarajiwa kufanya ziara juma hili kwenda Japan ambapo atakizuru kinu cha Fukushima kujionea uharibifu uliosababishwa na tetemeko la ardhi na tsunami vilivyoikumba Japan mapema mwaka huu ambapo pia ataitembelea Korea.

Tetemeko kubwa la ardhi na tsunami vilivyoikumba Japan tarehe 11 mwezi Machi vilisababisha vifo vya watu kadha na kuharibu miji , vijiji na miundo msingi.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)

SAUTI YA ALICE