Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ya Eritrea ilipanga mashambulizi dhidi ya mkutano wa AU: UM

Serikali ya Eritrea ilipanga mashambulizi dhidi ya mkutano wa AU: UM

Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa nchi ya Eritrea ilipanga mashambulizi makubwa kwa mkutano wa muungano wa nchi za Afrika AU uliondaliwa mapema mwaka huu nchini Ethiopia . Ripoti hiyo inasema kuwa kama mpango huo ungefanikiwa ungesababisha maafa makubwa kwa raia , ungeutikiza uchumi wa Ethiopia na kuvuruga mkutano wa AU.

Ripoti hiyo inaongeza kuwa taifa hilo dogo la Afrika mashariki limekiuka vikwazo vya silaha vya Umoja wa Matifa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)