Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM kutumia dola milioni 400 kusaidia wafugaji nchini Kenya

UM kutumia dola milioni 400 kusaidia wafugaji nchini Kenya

Umoja wa Mataifa unatumia takriban dola milioni 400 zilizotolewa na shirika la kutoa ufadhili wa dharura la UM CERF kuwasaidia wafugaji 40,000 kaskazini mashariki mwa Kenya waliothirika zaidi na ukame. Ufadhili huo utakuwa ukiwajumuisha wenyeji katika ujenzi wa miradi ya kuhifadhi maji , katika kusambaa bidhaa za kiafya na chakula kwa mifugo. Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa IOM.

( SAUTI YA JUMBE )