Azimio la usitishwaji mapigano baina ya Israel na Hisbullah liliheshimiwa

22 Julai 2011

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anayoratibu mambo ya Lebanon ameliambia Baraza la usalama azimio la mwaka 2006 ambalo liliweka zingatia vita baina ya Israel na Hisbullah kwa kiasi kikubwa lilifaulu.

Amesema pande zote mbili zilifaulu kuheshimu masharti ya azimio hilo lilifikia tamati mwaka 2006 licha kwamba hadi sasa kumekuwa na shabaya ndogo ya kufikia mpango kamili wa usitishwaji wa mapigano.Azimio hilo nambari 1701 ndilo lilifanikisha kumaliza vita vilivyodumu kwa mwezi mzima baina ya Israel na Hisbullah.

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter