Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban atoa wito wa mbinu za kuhakikisha kuwepo kwa usalama

Ban atoa wito wa mbinu za kuhakikisha kuwepo kwa usalama

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito kwa jitihada za kimataifa kubuni njia katika kuhakikisha kuwa ulimwengui unachukua jukumu la kulinda na kuhakikisha kuwa karne hii imekuwa ya kwanza ambayo historia yake itabaki kuwa nzuri isiyo ya kumwaga damu.

Akilihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Ban amesema kuwa ni lazima ulimwengu ujitolee kulinda na akaongeza kuwa inahitajika kueleweka hasa ni masuala gani husababisha kutokea kwa ghasia.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)