Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

De Schutter kufanya ziara nchini Madagascar

De Schutter kufanya ziara nchini Madagascar

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kuwa na chakula Olivier De Schutter atafanya ziara rasmi nchini Madagascar kuanzia tarehe 18 na 22 mwezi huu ikiwa ndiyo ziara ya kwanza kufanywa na mjumbe kama huyo aliyeteuliwa na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)