Kuna haja ya kutilia maanani wito wa kuwepo demokrasia nchini Libya

11 Julai 2011

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Libya Ela al-Khatib amefanya mazungumzo na waziri mkuu nchini Libya na waziri wa mambo ya kigeni akisisistiza umuhimu wa kuwepo kwa suluhu la kisiasa kwa mzozo unaondelea na kuwaondolea watu mateso zaidi.

Akiwa mjini Tripoli bwana Khatib pia amesema kwamba makubalino yoyote ambayo yatakuwepo ni lazima yaanzingatie matakwa ya wananchi wa Libya.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa UNGA76 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter