Wakulima wa pamba kutoka Afrika kupata faida

29 Juni 2011

Maafisa kutoka serikali za Kiafrika pamoja na washirika wao na pia wataalamu wanakutana juma hili mjini Berlin nchini Ujerumani kuamua ni hatua zipi watakazochukua kuondoa vizuizi vinavyozuia kuongezeka kwa uzalishaji wa pamba barani Afrika. Kwa sasa kuna soko zuri la pamba baada ya bei ya zao hilo kuongezeka mara dufu.

Lengo kuu ni kuwakikishia wakulima kutoka Afrika faida na mafanikilo ya muda mrefu kwa uchumi wa chi za Afrika.

(RIPOTI YA FLORA NDUCHA)

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter