Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Miaka 30 ya kujenga upya maisha kwa wahanga wa utesaji iko hatarini umeonya UM

Miaka 30 ya kujenga upya maisha kwa wahanga wa utesaji iko hatarini umeonya UM

Juhudi za Umoja wa Mataifa kusaidia wahanga wa utesaji kujenga upya maisha yao ziko hatarini kutokana na matatizo ya ukosefu wa fedha.

Mfuko wa hiyari wa Umoja wa mataifa kwa ajili ya waathirika wa vitendo vya tesaji unasema msaada unaopokea kutoka kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa umekuwa kipungua katika miaka mine iliyopita jambo ambalo linaziweka juhudi zake pabaya. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)