Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msaada wa chakula wa WFP umewafikia walibya nusu milioni walioathirika na vita

Msaada wa chakula wa WFP umewafikia walibya nusu milioni walioathirika na vita

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limegawa msaada muhimu wa chakula kwa zaidi ya watu 50,000 walioathirika na machafuko nchini Libya.

Shirika hilo limezambaza chakula kwa raia walio kwenye maeneo ya vita , wakimbizi wa ndani, wafanyakazi wahamiaji na makndi ya wasiojiweza kama wajane, yatima na walemavu. WFP ilianza kupeleka msaada wa chakula Libya kwa njia ya barabara Machi 9 mwaka huu mara tuu baada ya kuzuka kwa mgogoro. Jason Nyakundi anaripoti.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)