Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNEP yazindua mwongozo katika usimamizi wa sehemu za maji

UNEP yazindua mwongozo katika usimamizi wa sehemu za maji

Wakati huo huo upungufu wa viumbe vya majini kumetajwa kusababishwa zaidi na kuendesha uvuvi kupita kiasi na uchafuzi wa mazingira hali ambayo inaweza kusitishwa ikiwa mashirika, jamii na washika dau wengine watabuni mbinu mwafaka za kusimamia maeno ya bahari.

Ushirikiano wa karibu baina ya wanaotumia bahari kwenye uvuvi na masuala mengine vinaweza kusaidia jamii kujiandaa wakati wa majanga.George Njogopa anaarifu