Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wahamiaji zaidi ya 200 hawajulikani waliko pwani ya tunisia

Wahamiaji zaidi ya 200 hawajulikani waliko pwani ya tunisia

Kwa mujibu wa shirika la habari la Tunisia , mabaharia wa Tunisia na jeshi la serikali wamewaokoa wahamiaji 500 lakini wengine 270 hawajapatikana na huenda wamezama wakaiti wakitapatapa kutaka kutoka nje ya boti hiyo kabla haijazama. Ili kupata taarifa zaidi idhaa hii imezungumza na Jumbe Omari Jumbe afisa mawasiliano na habari wa shirika la kimataifa la uhamiaji IOM.

(SAUTI YA JUMBE OMARI JUM