Ratko Mladic kupanda kizimbani ICTY Ijumaa

1 Juni 2011

Kamanda wa zamani wa jeshi la Bosninia Serbia Rtko Mladic Ijumaa wiki hii atapanda kizimbani kusomewa mashitaka ya mauaji ya kimbari na uhalifu wa kivita katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu kwa ajili ya Yugoslavia ya zamani ICTY.

Mladich alihamishiwa kwenye mahabusu ya mahakama hiyo Alhamisi baada ya wiki iliyopita baada ya kukwepa mkono wa sheria kwa takribani miaka 16. Alikamatwa na uongozi wa Serbia wiki moja iliyopita. Alice Kariuki anaripoti.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter