Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wa Kisomali watakiwa kushiriki mchakato wa amani

Vijana wa Kisomali watakiwa kushiriki mchakato wa amani

Wakati huohuo katika kuadhimisha siku hii ya Afrika mwakilishi maalumu wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika balozi Boubacar Gaoussou Diarra ametumia fursa hii kuwataka vijana wa Kisomali kuongeza juhudi zao mara mbili kusaidia mchakato wa amani wan chi yao.

Huku akikisisitiza nia ya Muungano wa Afrika kuhakikisha amani ya Somalia inapatikana balozi Diarra amesema katika miezi michache iliyopita serikali ya mpito ya Somalia imepiga hatua ya kuelekea amani na utulivu. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)