Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNECE inafanyia kazi viwango vipya kuboresha usalama wa malori na mabasi

UNECE inafanyia kazi viwango vipya kuboresha usalama wa malori na mabasi

UNECE itaorodhesha mahitaji ya kiufundi, kwa kuidhinisha mifumo ya kisasa ya breki (AEBS) ambayo itakwekwa kwenye malori na mabasi hayo. Mifumo hiyo itakuwa ikiangalia kwa karibu mwendo na umbali kati ya gari na gari na itakuwa na uwezo wa kubaini kama ajali itatokea na hivyo breki itafanya kazi ghafla. George Njogopa anaarifu.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)