Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Pillay aitaka serikali ya Syria isitishe mauaji dhidi ya waandamanaji

Pillay aitaka serikali ya Syria isitishe mauaji dhidi ya waandamanaji

Mkuu wa tume ya Umoja wa Mataifa ya kutetea haki za binadamu Navi Pillay amesema kuwa njia ambazo serikali ya Syria inazotumia kujibu maandamano hayo hazitakubalika na kuvitaka vikosi vya usalama kukoma kutumia risasi dhidi ya waandamanaji.

Amesema kuwa serikali ya Syria ina wajibu wa kuwalinda wale wanaondamana kwa amani na kutoa uhuru wa kufanyika kwa maaandamano ya amani. Alice Kariuki anaripoti:

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)

"