Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yawanusuru wahamiaji 1000 Misrata Libya

IOM yawanusuru wahamiaji 1000 Misrata Libya

Zaidi ya watu 1200 wamehamishwa kutoka Misrate Libya mwishoni mwa wiki na jana Aprili 18 shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limewahamisha wahamiaji 1000,

wakiwemo raia 650 wa Ghana, 100 wa Libya na wengine kutoka Ufilipino na Ukraine. Miongoni mwa wahamiaji hao ni wanawake na watoto na 23 majeruhi kama anavyofafanua Jumbe Omari Jumbe afisa wa IOM.