Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kongamano la amani la kuboresha uhusiano kati ya jamii ya Tirlama nchini Kenya na Tuposa nchini Sudan

Kongamano la amani la kuboresha uhusiano kati ya jamii ya Tirlama nchini Kenya na Tuposa nchini Sudan

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM kwa ushirikiano na serikali ya Kenya wamendaa kongamano la amani lililo na lengo la kuboresha uhusiano kati ya jamii ya Turkana nchini Kenya na Tuposa nchini Sudan.

Jamii ya Toposa huvuka na kuingia nchini Kenya ikitafuta malisho huku ile ya Turkana ikivuka na kuingia Sudan kutafuta maji. Japhet Kasimbu ni msemaji wa IOM.   

(SAUTI YA JAPHET KASIMBU)