EAC yajadili utekelezaji wa sheria za mfumo wa mawasiliano
Kitengo cha Afrika ya Mashariki kinachohusika na sheria za mfumo wa mawasiliano kinakutana Mombasa Kenya kuanzia leo Machi 28 hadi Machi 30 kujadili hatua inayofuata ya utekelezaji wa sheria za mfumo wa mawasiliano.
Sheria hizo ziliidhinishwa na nchi wanachama ili kurahisisha biashara kwa kutumia tekinolojia ya habari na mawasiliano.
Baada ya mkutano huo hapo Machi 31 na April mosi kitengo kitawasilisha taarifa maalumu kwenye bunge la Kenya kuhusu baadhi ya masuala ya kisheria yanayohusiana na biashara ya mtandao na ya kutumia mtandao wa simu. Jason Nyakundi na taarifa kamili.
(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)