Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maisha ya watu bilioni tisa yako hatarini: Migiro

Maisha ya watu bilioni tisa yako hatarini: Migiro

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha-Rose Migiro amesema kuwa maisha ya watu bilioni tisa kote dunia yako kwenye hatari.

(SAUTI YA ASHA-ROSE MIGIRO)

Akihutubi kamati moja ya Umoja wa Mataifa Bi Migiro amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa maendeleo ya kudumu. Migiro amesema kuwa hali mbaya ya uchumi na majanga ya kiasili yanayotokea duniani havitakuwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua.