Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Timu ya UM imewasili Japan kwa kusaidia:UNDAC

Timu ya UM imewasili Japan kwa kusaidia:UNDAC

Nayo timu ya Umoja wa Mataifa kutoka kitengo cha tathimini ya majanga na uratibu (UNDAC) imewasili Japan kwa ajili ya kuisaidia serikali katika operesheni za msaada wa dharura

Msaada wa UNDAC sio wa kawaida hasa ikizingatiwa kuwa Japan inamaandalizi mazuri ya kukabiliana na majanga, UNDAC inajaribu kuratibu juhudi za kimataifa katika kusaidia waathirika wa janga hilo lililoikumba Japan Ijumaa iliyopita. Jason Nyakundi na ripoti kamili.

(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)