Skip to main content

Mitambo ya nyuklia Japan iko kwenye tahadhari

Mitambo ya nyuklia Japan iko kwenye tahadhari

Tetemeko hilo la Japan pia limefanya kufungwa kwa mitambo ya nyuklia ya nchi hiyo kwa kuhofia athari za mionzi.

Maafisa wa serikali ya Japan wametangaza hali ya tahadhari kwenye mitambo yake ya nyuklia hasa Fukushima Daiichi ambayo sasa imefungwa, lakini hakuna taarifa zozote za kusambaa kwa mionzi.

Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Tokyo pia inafuatilia kwa karibu hali hiyo. Akizungumza na idhaa hii mkuu wa ofisi hiyo Mari Yamashita anasema alikuwa ofisini wakati tetemeko lililpotikisa.

(SAUTI YA MARI YAMASHITA)