Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO na harakati za kukuza lugha mama duniani

UNESCO na harakati za kukuza lugha mama duniani

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na elimu, sayansi na utamaduni UNESCO mwaka 1999 lilitangaza kuwa kila February 21 inapaswa kuadhimishwa kama siku ya lugha mama kwa shabaya ya kuzitangaza na kusukuma mbele lugha mbalimbali duniani.

Pia UNESCO ilichapisha atlas maalumu iliyoangazia lugha mbalimbali duniani ambazo zipo hatarini kupotea, ikitaka kuwepo kwa hatua za makusudi ili kuzilinda lugha hizo.

 

Dr. Matthias Brenzinger, ni mtaalamu wa lugha aliyeko huko Gaborone, Botswana amezungumza na Derrick Mbatha wa redio ya Umoja wa Mataifa:

(SAUTI YA MATTHIAS BRENZINGER)