Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukosoaji siyo uchochezi: Mjumbe wa UM Cambodia

Ukosoaji siyo uchochezi: Mjumbe wa UM Cambodia

Mjumbe huyo amesema kuwa kukosoa jambo siyo dhambi wala uchochezi hivyo mamlaka lazima zitambue kwamba wakosoaji wa haki za binadamu wanafanya hivyo kama njia ya kujenga jamii adilifu na yenye kuheshimu misingi ya kibinadamu.

Prasad Subedi, ametoa kauli hiyo baada y ya kutembelea maeneo kadhaa nchini humo kwa ajili ya kutathmini hali ya haki za binadamu na uhuru wa kujieleza.

 

Ametaka wakosoaji wa masuala wasibinywe wala kukandamizwa kwa kutumia sheria kali kwani kufanya hivyo ni kuridisha nyuma haki za binadamu: