Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya yaanza mikakati kuwakoa watumiaji wa madawa ya kulevya dhidi ya HIV

Kenya yaanza mikakati kuwakoa watumiaji wa madawa ya kulevya dhidi ya HIV

Serikali ya Kenya imeanza kuchukua hatua za ziada ili kukabiliana na maambukizi

ya virusi vya HIV kwa watumiaji wa madawa ya kulevya.

Katika mpango wake wa awali, vituo kadhaa vya afya imefunguliwa mjini Mombasa ambavyo vinatoa huduma za kuzuia maambukizi ikiwemo pia kusambaza mabomba salama za sindano kwa watumiaji hao.

Pia madawa ya kufubaza makali ya virusi vya ukimwi na msaada wa kijamii umeandaliwa kwa watumiaji hao. Alice Kariuki na taarifa kamili:

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)