Skip to main content

UM watia ushawishi wake kutanzua mzozo wa Sudan Kusini

UM watia ushawishi wake kutanzua mzozo wa Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan UNMIS, umekuwa na juhudi za kidiplomasia

ya uletaji suluhu baina ya makundi yanayohasimiani katika eneo la kusini la nchi

hiyo.

Athor Deng ambaye hapo kabla alikuwa kiongozi wa kundi la SPLA  na baadaye kujiondoa anadhibiti miji mitatu iliyoko upande wa kusinI.