Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM watoa wito wa kuwepo uwekezaji katika kilimo

UM watoa wito wa kuwepo uwekezaji katika kilimo

Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kuwepo uwekezaji zaidi katika kilimo kama njia moja wapo ya kukakibiliana na kupanda kwa bei ya vyakula na kuongeza mazao miongoni mwa wakulima wadogo.

Mratibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu usalama wa chakula duniani David Nabarro anasema kuwa kuna sababu nne kuu zinazotatiza upatikanaji wa chakula.

(SAUTI YA DAVID NABARRO)